Loading...
Hali ilivyo Zanzibar Mh.January Makamba anatoa wito kupitia twitter
January Makamba @JMakamba
Ndugu zetu wa Zanzibar! Tunaomba Mungu atupe sanity ya kutofanyiana fujo kisa tofauti za misimamo. That place is beautiful. Tusiinajisi.
Nasikitishwa na vurugu za Zanzibar. Kanisa la PAG karibu na Posta limechomwa moto. Kupinga Muungano ruksa! Kuchoma makanisa, hapana!
Ndugu zetu wa Zanzibar! Tunaomba Mungu atupe sanity ya kutofanyiana fujo kisa tofauti za misimamo. That place is beautiful. Tusiinajisi.
Mwisho anatuambia yupo Jimboni kwa wapiga kura wake....
Niko Jimboni kuzungumza na wapiga kura na kuhimiza utekelezaji wa miradi na ahadi zetu. I always feel grounded and protected nikiwa huku.
Waweza mfuatilia twitter...
January Makamba @JMakamba
Post a Comment
CodeNirvana