Loading...
Nape Nnauye yuko Kagera asema Michezo ni Afya
Nape Nnauye akicheza mchezo wa gofu missenyi,mkoa wa kagera
KATIBU MWENEZI NA ITIKADI CCM TAIFA NDGU NAPE MOSES NNAUYE AKIKATA UTEPE LEO KUINGIA KWENYE UWANJA WA MASHUJAA ,KUZINDUA BARAZA LA VIJANA MKOANI KAGERA WILAYA YA MISSENYI KATIKA ZIARA YA UIMARISHAJI CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI CCM....Anasemaaa.....MWENDO MDUNDO,HAKUNA KULALA HAOGOPWI MTU.KIDUMU CCM UTAKE USITAKE CCM JUU TU
Post a Comment
CodeNirvana