Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Hii ndio hali halisi hata majuu imekuwa kazi kupata kazi


Ana digrii ya pili ya Historia''Masters degree in History'' ametuma maombi zaidi ya 15,000 tofauti zaidi ya miaka Kumi sasa hajafanikiwa kuajiriwa popote.
Anaitwa Robin Norton,kutoka mji wa Birmingham,nchini Uingereza.
Ameamua avae bango hilo kwani hali mekuwa ngumu huko ni majuu ambako wengi wana ndoto za kwenda huko.

Huyu ni mmoja kati ya mamia au maelfu waliozagaa huko majuu ajira imekuwa tatizo sasa.
Hapa nyumbani hali ikoje sasa ? Je bado tunangoja kuajiriwa? Kujiajiri je mazingira nayo yanaruhusu ?
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top