Loading...
Hiki ndicho Kilichomsononesha Wayne Rooney
Wayne Rooney kwa mara ya kwanza toka waukose Ubingwa ana sema kitendo cha Mashabiki wa Sunderland kushangilia kwa staili ya Manchester City baada ya Man City kuwa mabingwa kwenye Uwanja wa Light,ndicho kilichomuuma sana siku hiyo.
Taswira mashabiki wa Sunderland wakiwadhihaki wa Man United baada ya Man City kusawazisha goli na kuongeza la ushindi hivyo kutangazwa mabingwa japo Man United waliishinda/waliifunga Sunderland 1-0.
Post a Comment
CodeNirvana