Biashara ya mahindi ya kuchoma imeshamiri sana katika Jiji La Dar es Salaam ambapo karibu vituo vyote vya daladala huwezi kuwakosa wajasiria mali hawa ambao hutafuta riziki zao.Wasafiri wengi hupotezea uchovu wa siku kwa hindi la kuchoma huku wakisubiria usafiri wa daladala.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Friday, May 11, 2012