Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

IKULU:Rais Jakaya Kikwete Aongoza Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa,Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mjini Dodoma


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri mkuu Mizengo Pinda na Wziri wa TAMISEMI Hawa Ghasia wakiongoza Mafunzo ya Wakuu wa mikoa, Makatibu Tawala wa mikoa na Wakuu wa wilaya yanayofanyika katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma Leo .

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati mafunzo ya wakuu wa mikoa,makatibu tawala na wakuu wa wilaya inayoendelea katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma Leo.

Baadhi ya Wakuu wa Mikoa na wilaya wanaoshiriki katika mafunzo katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma Leo.Picha na Freddy Maro-IKULU

Hisani ya Haki Ngowi.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top