Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Kazi inaendelea Hiyo ni Manzese


Ujenzi wa njia ya magari yaendayo kasi unaendelea ukipita barabara ya Morogoro kuanzia Ubungo mpaka maeneo ya Jangwani utaona tofauti kubwa na kazi za hapa na pale za kutoa ukoka kama Taswira inavyoonyesha greda likipakwangua udongo na kupakia kwenye lori hapo ni maeneo ya Manzese.


Taswira maeneo ya Manzese watu wakiwa kazini karibu na daraja lile na kuvukia watu kwa juu ambalo wenyeji wanaliogopa kulitumia kwa hofu ya vibaka badala yake wamekuwa wakivuka bila kulitumia daraja hilo.Na daraja hilo wengi kulitumia kupigia picha za kumbukumbu ili huko waendako waonyeshe kuwa nao waliwahi fika maeneo hayo.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top