Loading...
Home » Unlabelled » Taarifa Rasmi ya Mabadiliko John Mnyika kwenye ukurasa wake wa twitter atoa wito asema..
Taarifa Rasmi ya Mabadiliko John Mnyika kwenye ukurasa wake wa twitter atoa wito asema..
LEO tarehe 23/05/2012
John Mnyika @jjmnyika
Taarifa Rasmi ya Mabadiliko: 24/05/2012. Hukumu itasomwa katika MAHAKAMA KUU,KIVUKONI na si Mahakama ya Kazi, Akiba!Mfahamishe mwingine
Anazidi kutuhabarisha.....
24/5/2012 Hukumu itaanza kusomwa SAA 4 ASUBUHI katika Jengo la MAHAKAMA KUU (KIVUKONI-COURT No. 1)SAA 4 ASUBUHI(Fika mapema)!
Twitter za Jana toka kwa Mnyika
John Mnyika @jjmnyika
Tuungane pamoja katika sala na swala kumwombea kwa Mwenyezi Mungu Jaji Upendo Msuya afanye maamuzi ya haki. 24th Mei,2012 Hukumu!!
John Mnyika @jjmnyika
Mahali:Mahakama ya Kazi,ipo jengo la NSSF katika kona ya Akiba.Linatazama Chuo cha CBE.Siku: 24/05/2012 Muda kuanzia 0830HRS!Hukumu.Karibuni
Post a Comment
CodeNirvana