Hapo ni kituo cha daldala cha Sanene wasafiri wakipanda daladala linalo fanya safari zake kati ya TABATA SEGEREA-MNAZI MMOJA hapo kila mmoja akijaribu kuwahi mahala pake pa kazi
Waliobaki nao wamejikunyata ili kusubiria gari lingine ili nao kama wanaweza pata nafasi ili kuwahi.Wataalamu wa mambo wanasema dawa pekee ni kuamka mapema ili uweze pata gari bila bugutha kwa wale wanao enda makazini.
Pembeni ya kituo cha SANENE kuna kituo cha mafuta kinajengwa hapo kikionekana kwa mbaali kikiwa hatua za mwisho kabla ya kuanza kutoa huduma.
Loading...
Post a Comment
CodeNirvana