Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

LIVE tunakuletea Mkutano wa CHADEMA Jangwani

Kamera yetu ipo Jangwani tunakuletea matukio live toka hapa Jangwani.


Suala la Misosi ni kama kawaida Wajasiria mali wapo wakitoa huduma hiyo kama huyu alikutwa katikati ya watu kazi kama kawa.Jamaa anapiga msusi safi kwani ametoka kazini hivyo lazima apate ili aweze sikiliza vizuri

Kwa mbaali hapo MAma Muuza anarekebisha mambo nawaona dagaa hao wapo nao.Hiyo ni Jangwani mida hii ambapo watu toka maeneo mbalmbaili ya JIji Wanakusanyika katika mkutano wa CHADEMA unaotarajiwa Hutubiwa na Viongozi wake wakuu pamoja na wabunge machachari wasiopungua 15.
Endelea kuperuzi Kijiweni usikimbie kijiwe tunakuletea taswira zaidi.....
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top