Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Huko Twitter na Facebook wameandika nini wabunge/wanasiasa wetu.....

Juhudi za kupunguza nguvu ya CCM kwa kuokoteleza wanachama wa CCM waliofulia zilianza miaka 20 iliyopita (1992-20121)!! Mpaka leo hazijazaa matunda! Ongezeni bidii, atafutaye hachoki! Lakini pengine badilisheni style. Mtu hatishwi na kinyago alichochonga mwenyewe!!
Zitto Kabwe anaandika hivi kupitia Facebook....
Kesho Jumapili tarehe 27 Mei mwaka 2012 nitakutana na Watanzania wanachama na wapenzi wa CHADEMA wanaoishi Marekani. Mkutano utafanyika katika Jimbo la Maryland kama ilivyokwisha tangazwa hapo awali.

Katika mkutano huu wa kwanza na wa aina yake tutazindua uandikishaji wa wanachama wa CHADEMA kwa Watanzania wanaoishi Marekani. Pia tutazungumza masuala mbalimbali yanayohusu nchi yetu. Masuala ya kwanini nchi yetu haiondokani na umasikini licha ya utajiri wa rasilimali uliopo nchini, masuala ya namna gani tunajiandaa na uchumi wa gesi asilia na nafasi ya Watanzania waishio nje katika maendeleo ya Taifa.

Tutazungumza kuhusu uandikaji wa Katiba mpya na namna haki za Watanzania wanaoishi nje zitakavyoingia kwenye Katiba ikiwemo haki ya kupiga kura na hata haki ya kuwa na Uraia wa pili.

Ninapenda kuwakaribisha katika mkutano huu muhimu sana. Njooni tuzungumze. Njooni tujadiliane. Wasiliana na viongozi wa chadema Marekani kwa maelekezo zaidi.
John Mnyika NAe amewaalika Jangwani Kupitia Facebook asema...
Karibuni sana kushiriki safari ya vuguvugu la mabadiliko (M4C) na kushuhudia "Vua Gamba, Vaa Gwanda"!Ni mwendo wa Khaki tu leo...saa nane (1400HRS) ndiyo hiyo inawadia tunahesabu masaa tu, wahi kufika maana nyomi lake leo si la kitoto.Tuonyeshe Tanzania kuwa Dar es Salaam nayo ipo mstari wa mbele katika mabadiliko.Usikose!Nyoo na wenzako kibao.....Peopleee....s!
Mohammed Dewji MO ‏@moodewji anatupa kuhusu mkonge....
MeTL Group currently produces 40% of Tanzania's sisal, employing more than 5000 people on its farms
Huyu ni Mbunge wa Rombo anaandiaka pia kupitia Facebook hii ilikuwa Thursday..
Joseph Selasini
NASIKIA KUNA BAADHI YA VIJANA WANAZUSHA KUWA SINA USHIRIKIANO NA WANANCHI WANGU NA NIKICHEZA 2015 JIMBO LITARUDI CCM!

Kwa ufupi sana naomba niandike hapa baadhi ya michango yangu kama Mbunge kwa Wananchi wangu.
1.Ndueni Sec. 2Million (Ununuzi wa computer na Printer)
2. Mbomai Sec. 2Million (Ununuzi wa Computer na Printer)
3. Tarakea Sec. 2Million (Ukarabati wa mabweni ya Wasichana)
4. Msangai S/Msingi 1Million (Ukarabati wa vyoo)
5. Kikundi cha Wajasiriamali 2.Million
6. Kijiji cha Mashima 1.5 Million (Ujenzi wa ofisi ya Kijiji)
7. Ngaleku Sec. 2Million (Uingizaji umeme)
8. Kirongo Samanga 2Million (Ujenzi wa Kituo cha Polisi)
9. Kijiji cha Samanga 1.Million (Ujenzi wa Ofisi ya Kijiji)
10. Kirachi Sec. 2Million (Ujenzi wa Jiko)
11. Kitirima Kingachi 1Million (Ujenzi wa Kituo cha Polisi)
12. Katangara Mrere 500,000/= (Kikundi cha Kinamama-MAZINGIRA)
13. Ofisi ya Kijiji Mrere 2Million (Kuezeka Ofisi)
14. Kiraeni Sec. 2Million (Ujenzi wa mabweni)
15. Bustani Sec. 2Million (Kuunganisha Maji)
16. Ugwasi Sec. 2Million (Kuunganisha Maji)
17. S/Msingi Kwangao 2Million (Ukarabati)
18. Kwaya ya KKT Mkuu 600,000
19. Huruma Convent 2Million (Ukarabati wa mabwawa ya kufugia Samaki)
20. Tumaini Center 2Million (Msaada kwa Watoto Yatima)
21. Kikundi cha Vijana na Maendeleo 1Million (Mradi wa Kufuga Kuku)
22. Kilamacho Sec. 1Million (Kuingiza Umeme)
23. Maharo S/Msingi 1Million (Umeme)
24. Makiidi Sec. 2 Million (Ujenzi wa Madarasa)
25. Parokia ya Mkuu 1Million (Mchango wa Ujenzi nyumba za mapadre)
26. Shimbili Saccos 1Million (Ujenzi wa ofisi)
27. Kwaikuru S/msingi 1Million (Ukarabati wa mitaro ya maji ya mvua)
28. Kikundi cha Wajasiriamali cha MWANGARI 2Million (Ukarabati wa mashine ya kusaga)
29. Booni Sec. (Ukarabati wa Madarasa)
30. Mamsera Sec. 1Million (Ujenzi wa madarasa)
31. mamsera Sec. 300,000 (Ujenzi wa jiko)
32. Tanya Sec. 1Million (Ujenzi wa Madarasa)
33. Parokia ya Mahida 1Million (Ujenzi wa nyumba ya mapadri)
34. Ngoyoni 2Million (Ujenzi wa Ofisi ya Kata)
35. Holili S/msingi 2Million (Ukarabati)
36. Holili 2Million (Ujenzi wa Ofisi ya Kata)
37. Olele 2Million(Ujenziwa ofisi ya kata).
Hayo ni baadhi tu ya mambo madogo madogo ambayo nimeweza kuisaidia Jamii ya WanaRombo...Mikakati yangu na Mipango ya Maendeleo nitaitoa Siku chache zijazo....

Joseph Selasini
Mb.Rombo (CHADEMA
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top