Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Live Updates:Kesi ya Mnyika.JOHN MNYIKA ASHINDA KESI

Shtaka la kwanza:Mnyika alimwita fisadi Nghumbi ktk mkutano wa hadhara kwa kuuza nyumba za UWT limetupiliwa mbali na mahakama

Shtaka la kwanza limetupiliwa mbali.Bado mashtaka manne!Hukumu inaendelea kusomwa
Shtaka la Pili la Kura hewa nalo limetupiliwa mbali!Sambamba na shatak la 3! Sasa shtaka la nne juu ya laptop!
UPDATE...
Shtaka la nne la laptop binafsi limetupwa mbali.Hivyo mashtaka manne yote yametupwa mbali.Bado moja na la mwisho

Shtaka la 5:Idadi kubwa ya watu nalo limetupiliwa mbali.Hivyo mashtaka yote matano yametupiliwa mbali!!

MNYIKA ameshinda!Hawa atatakiwa kulipa gharama zote!

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top