Loading...
Liverpool waiduwaza Chelsea Anfield
Agger akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake ya Liverpool goli la tatu hapo jana usiku katika Uwanja wao wa nyumbani Anfield.
Luis Suarez akimtoka John Terry hapo jana katika mpambano ulioishia kwa Liverpool kuitandika Chelsea goli nne kwa moja.
Fernando Torres akiwa na uso wa huzuni huku wachezaji wa Liverpool wakishangilia mojawapo ya magoli waliyofunga jana katika mpambano ambao waliibugiza Chelsea Goli nne.Hivyo Chelsea kukosa nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi hiyo iliyobakiza mechi moja kuisha kwa msimu huu wa 2011/2012.Hivyo inawalazimu kushinda mechi yao ya Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya katika Uwanja Allianz Arena dhidi ya Bayern Munich tarehe 19.05.2012 ili kuweza kushiriki Ligi hiyo tajiri sana barani Ulaya.
Post a Comment
CodeNirvana