Loading...
Machinga Mnazi Mmoja.
Wafanyibiashara ndogondogo maarufu kama Machinga bado wapo wakifanya biashara hiyo hapo Kamera yetu ilimkuta huyu akiwa kapanga bidhaa zake chini Maeneo ya Mnazi Mmoja akisubiria wateja.
Wengine ni Mithili ya duaka huyu yuko kona ya uzio wa Mnazi mmoja ukitokea Lumumba ofisi ndogo Za CCM unaingia barabara yenye kituo cha mabsi yaendayo Posta/Kivukoni yakitokea maeneo mbalimbali ya jiji Kama Tabata Kimanga/Segerea,Buguruni nk.
Mamlaka husika zinaona hali hiyo wakiwemo mgambo wa Jiji.
Post a Comment
CodeNirvana