Loading...
Makongoro Mahanga ashinda Kesi ya uchaguzi Jimbo la Segerea
Mbunge wa Jimbo la Segerea Mh.Makongoro Mahanga akizungumza na vyombo vya habari muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kumtangaza kuwa ni mshindi halali dhidi ya kesi iliyokuwa inamkabili.
Aliekuwa amefungua kesi Mahakama kuu kupinga ushindi wa Makongoro Ndgu.F.Mpendazoe akizungumza na vyombo vya habari baada ya madai yake kutupiliwa mbali na Mahakama Kuu leo Jijini Dar es Salaam na kutakiwa kulipa gharama zote za Kesi hiyo.
Post a Comment
CodeNirvana