Loading...
Fabrice Muamba arejea Reebok stadium
Mchezaji Fabrice Muamba akiingia uwanjani kwa mara ya kwanza kuwashukuru mashabiki wa Bolton na Tottenham toka apate 'cardiac arrest' siku 46 zilizopita.
Akitokwa na machozi alipokuwa akiwashukuru mashabiki hao ambao walimuombea toka siku anaanguka uwannjani mapaka alipokuwa anapigania maisha yake Hospitalini alipopewa nafasi ya kushukuru kabla ya mchezo wa Ligi kuanza hapo jana 02.05.2012 ambapo Bolton walilala kwa mabao 4 kwa 1 toka kwa Tottenham.
Hapo akiwapungua mashabiki hao baada ya kuwasalimu ambapo yeye na familia yake walikuja kuwashukuru mashabiki hao wa timu za Bolton na Tottenham.
Post a Comment
CodeNirvana