Loading...
Home » Unlabelled » Mbunge wa Nzega Mh.Hamisi Kigwangalla anasema mikataba ya Madini ni Wizi Nzega Kuandamana Juni 16,hii ni kupitia ukurasa wake wa Twitter
Mbunge wa Nzega Mh.Hamisi Kigwangalla anasema mikataba ya Madini ni Wizi Nzega Kuandamana Juni 16,hii ni kupitia ukurasa wake wa Twitter
Hivi watu wengine wote hawaoni kama mikataba ya madini ni ya wizi, haifai na ifutwe? Mi kila nikisoma MDA ya Resolute Naona ni wizi mtupu.
Tumewasilisha rasmi barua ya kuomba ulinzi wa polisi kwenye maandamano ya wananchi wa Nzega kudai haki zao dhidi ya mgodi. @mariaSTsehai
Maandamano ya wananchi wa Nzega kudai haki zao dhidi ya mgodi sasa kufanyika tar 16 Juni 2012. Nyote mnaalikwa kutuunga mkono.
Yap. Njooni tupaze sauti kutokea Isungangwanda, Nzega
Umefika wakati sasa wananchi tusimame kidete tuseme basi, inatosha! Mikataba mibovu kny madini mwisho, kizazi hki kimeshindwa, tuwaachie wt
Umefika wakati sasa wananchi tusimame kidete tuseme basi, inatosha! Mikataba mibovu kny madini mwisho, kizazi hki kimeshindwa, tuwaachie w
PeterDafi safi sana. Watoto wa Nzg neuro kuitetea Katanga yenu!
Yap. Njooni tupaze sauti kutokea Isungangwanda, Nzega
nimewasilisha maombi ya murals suala hili lijadiliwe bungeni mara tano sikusikilizwa, napeleka mrejesho ss
Mfuatilie twitter...
Hamisi Kigwangalla @hkigwangalla
Post a Comment
CodeNirvana