Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Miaka Saba iliyopita Siku Kama ya Leo Istanbul 2005

Si vibaya basi tukakumbushana Miaka saba iliyopita huko Istanbul mwaka 2005 kulitokea nini kwenye Klabu Bingwa ya Ulaya pale vijogoo wa Anfield walipoishangaza Dunia kwa kusawazisha magoli Matatu waliyofungwa kipindi cha kwanza na kuyarejesha kipindi cha Pili na kuja kushinda kwa changamoto ya penati dhidi ya Vigogo Ac Milan. Hebu tujikumbushe basi kwa taswira hizo usiku uliokuwa mtamu sana...

Golikipa wa Liverpool Jezy Dudek akipangua shuti la Andriy Shevchenko wa Ac Milan na kupelekea Liverpool kutawazwa Mabingwa wa Klabu Bingwa Ulaya.
Hiyo ilikuwa miaka saba iliyopita siku kama ya leo.

Ilikuwa ni furaha ya aina yake siku hiyo kama uonavyo Hii ndi Liverpool a.k.a bwawa la maini.

Hii ilikuwa miaka saba iliyopita hawa ndio walitupa raha siku hiyo ambayo Bwawa la maini hawatalisahau.
Rafael Benítez alikuwa na furaha tele siku hiyo ..
Tulikuwa tunajikumbusha tu Miaka saba iliyopita ambapo huko Istanbul 2005 kulikuwa na Fainali ya aina yake kati ya Liverpool na Ac Milan.
Bwawa oyeeeeeeeeeeee........ILikuwa 2005 !!

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top