Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Nape atoa Pongezi zake


KUTOKA ukurasa wake wa Facebook....

Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi nampongeza Rais Jakaya M. Kikwete kwa uteuzi wa Baraza la Mawaziri, hakika uteuzi huu umezingatia ushauri,maoni na mawazo ya Chama. Na pia napenda kuwapongeza Mawaziri wateule na pia kutoa wito kwa Mawaziri kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa na kwa kutekeleza Ilani ya Chama kwa maslahi ya Taifa.

HONGERENI SANA...!
By: Nape Moses Nnauye
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top