Loading...
Taswira za Ikulu leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na waandishi wa habari wakati akilitangazia taifa Baraza la Mawaziri.
Wanahabari wakati wa kutangaza Baraza la Mawaziri leo,Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilali na Waziri Mkuu,Mh.Mizengo Pinda muda mfupi baada ya Kutangaza Baraza la Mawaziri.
PICHA NA IKULU
Post a Comment
CodeNirvana