Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Omba omba Mnazi mmoja.


Hapa ni Mnazi Mmoja ambapo kamera yetu ilikutana na Mama huyu ombaomba akiwa kazini akiomba huku amejisitiri na Kipande cha Boksi ili asiungue na jua kali linalo wako Taswira hii hii imechuliwa leo maeneo hayo ya Mnazi Mmoja japo mamlaka husika zimejjitahidi kuwaondoa lakini bado hali hiyo ipo.

Upande wa pili wa Uzio wa bustani hiyo ya Mnazi Mmoja yupo huyu wa nae akiwa kaupigia mawani makubwa na akinyoosha mkono kwa wapita njia ili aweze pata pesa kwa wasamaria wema.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top