Loading...
Gari la taka lageuzwa Jalala
Picha hii ikionyesha mahala Gari la kuzoa takataka ngumu limepaki na panageuzwa kuwa jalala kisa ni gari hizo za taka kupaki hapo hivyo wenyeji huja na taka na kuzitupa hapo bila kuzingatia gari hilo lipo au halipo na kufanya eneo hilo kuwa katika halimbaya pindi mvua zinaponyesha.
Hapo mpita njia akijitahidi kukwepa madimbwi ya maji yanayotiririka kutoka kwenye gari hilo yaliyochanganyika na ya mvua pindi inaponyesha.Japo gari hilo nalo linaonekana kulemewa kwani nalo limekuwa takataka linahitaji matengenezo makubwa ili nalo liwe katika halinzuri.Hapa ni karibu na kituo cha Kinondoni B.Ukitokea Moroco.
Post a Comment
CodeNirvana