Hii imetokea huko Kakamega kwa majirani zetu Kenya pale Vijana wawili walipoamua kuzichapa kavukavu na kuogelea tope kisa kikiwa ni Ugomvi wa Sigara.
Zilichapwa hapo na walipomaliza ugomvi huo na Sigara nayo ikawa imeisha wakabaki wanaangalliana tu.
Taswira na Standard online.
Loading...
Post a Comment
CodeNirvana