Loading...
Simba Taifa Kubwa Mabingwa
Wekundu wa Msimbazi timu ya Simba Sports Club imefanikiwa kuutwaa Ubingwa Leo bila kuingia uwanjani baada ya timu ya Azam Fc kufungwa bao na Mtibwa Sugar leo kwenye uwanja wa Taifa.Mechi hii ni marudio baada ya ile ya kwanza kuvunjika katika uwanja wa Chamanzi baada ya Mtibwa kugomea penati hvyi TFF kuamua mechi hiyo irudiwe.Hivyo kwa kipigo hicho cha Azam 1-2 Mtibwa .Simba imekuwa Bingwa kwa kuwa na pointi 59 ambazo haziwezi kufikiwa na Azam yenye 53 na imebakisha mechi moja tu na kufanikiwa kuiwakilisha Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Barani Afrika na Simba ikituwakilisha Klabu Bingwa Afrika hapo Mwakani 2013.
Post a Comment
CodeNirvana