Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Tangazo la Carlsberg - Fan Academy (New television commercial) lililowauzi Argentina .


Taswira hii inaonekana ndani ya Tangazo hilo likimuonyesha kwa nyuma ndani ya sekunde mbili mfano wa Diego Maradona akiwa na mupu akipiga deki huku mashabiki wa Uingereza wakipita kitendo ambacho kimewaudhi wanazi wa Argentina.

Tangazo la sekunde 90 lililotengenezwa na Wadanish kwa ajili ya Bia ya Carlsberg ikiwa ni promo video.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top