
Basi aina ya Coaster lililo kuwa linatokea Mbeya kuelekea Kyela Muda mfupi baada ya Ajali kutokea

Gari la Mizigo ambalo limehusika na ajali hiyo likiwa pembeni muda mchache baada ya ajali hiyo kutokea

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Dr.Sankey akiongea na waandishi wa Habari akithibitisha vifo vya Abiria 13 na Majeruhi 20.

Akiwa tayari amepatiwa matibabu ni mmojawapo ya majeruhi walifikishwa hapo kupata huduma baada ya ajali .

Huyu ni mmojawapo wa majeruhi ambae aliumia akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya mara baada ya kufikishwa hapo kupata huduma.

Hawa ni baadhi ya Wanahabri waliofika Hospitali ya Rufaa Mbeya kufuatilia hali za majeruhi baada ya ajali hiyo kutokea leo hii Jijini Mbeya.
Picha zote na Mbeya yetu Blog.