Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Dereva na Sarawili yake


Hapo ni miguu ya dereva sarawili ikionekana kuwa iko juu ya nyingine hapo Hana wasiwasi gia kama kawaida ila mavazi yao ni kama vile wamelazimishwa kuvaa hawana Habari.



Kama anavyoonekana sarawili imepandishwa hadi kwenye mapaja tu na huku kwingine ni ile yake aliyovaa au tuseme aliyotoka nayo nyumbani kiasi cha kudhibitisha kuwa huenda akawa Deiwaka maana sarawili anaiona kama Jela vile
Hali hii imekuwa kama utaratibu wao hawa ndugu zetu kama kawaida hawapatani na mavazi hayo huyavaa kana kwamba vile wamelazimishwa.Hii ilikuwa ni Daladala za Mwenge-Kariakoo.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top