
Ni kituo cha Daladala hapo kamera yetu ilipomkuta Msafiri huyu akisubiria gari kwa muda baadae aliamua nunua Hindi ili liweze msindikiza wakati akisubiria usafiri hapo katulia tuli hana habari na daladala ziingiapo kituoni hapo Hii ni Kinondoni B
Your description comes here!