Loading...
Home
» Twitter
» Mh. Hamisi Kigwangalla :Hatimaye maandamano yetu ya kesho yapewa green lights. Karibuni nyote
Mh. Hamisi Kigwangalla :Hatimaye maandamano yetu ya kesho yapewa green lights. Karibuni nyote
Mbunge wa Nzega Hamisi Kigwangalla.
Maandamano ya wananchi wa Nzega kudai haki zao dhidi ya mgodi sasa kufanyika tar 16 Juni 2012. Nyote mnaalikwa kutuunga mkono
Hivi watu wengine wote hawaoni kama mikataba ya madini ni ya wizi, haifai na ifutwe? Mi kila nikisoma MDA ya Resolute Naona ni wizi mtupu!
Tumewasilisha rasmi barua ya kuomba ulinzi wa polisi kwenye maandamano ya wananchi wa Nzega kudai haki zao dhidi ya mgodi. @mariaSTsehai
Umefika wakati sasa wananchi tusimame kidete tuseme basi, inatosha! Mikataba mibovu kny madini mwisho, kizazi hki kimeshindwa, tuwaachie wtt
Nawapongeza viongozi wa serikali mkoa wa Tabora kwa busara yao kuruhusu maandamano ya kesho kudai haki za wananchi dhidi ya mgodi
Post a Comment
CodeNirvana