Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Kwa Mfojo kiota Maarufu kwa Nyama Choma Tabata

Hapo ndio kwa Mfojo kama panavyojulikana kiota maarufu sana Tabata kiko mitaa ya Segerea Hapo kuna mishikaki mizuri inayopendwa sana eneo hilo.Hapo ni mchana wa Jumapili iliyopita wadau wakianza miminika kuja kupata mshikaki japo wa hamu.Ukielekea Segerea pitia nawe wako hapo hutajutia fika hapo ni Kwa Mfojo.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top