

Mkataba waliouingia KELVIN YONDANI na SIMBA SPORTS CLUB.Wanasema wameamua kuuweka wazi ili kuondoa sintofahamu iliyojitokeza kati yao na Klabu ya Yanga baada klabu hiyo yenye Makao yake Jangwani kujinasibu ya kwamba wameibomoa Klabu hiyo ya Wekundu wa Msimbazi.