
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Kupitia CHADEMA Mh.John Mnyika akisindikizwa na askari wa bunge kutoka nje ya viwanja vya Bunge baada ya kuamriwa hivyo na Naibu Spika Job Ndugai baada ya kukataa Kufuta kauli yake ya kuudhi Leo huko Bungeni katika Mkutano wa Bajeti unaoendelea.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika akiteta na Mbunge wa jimbo la Wawi Hamad Rashid Mohamed (kushoto) na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo mara baada ya kuondolewa Bungeni mapema leo mjini Dodoma baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa dhaifuPicha zaidi tembelea hakingowi.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Tuesday, June 19, 2012