Beki Kelvin Yondani ambae amelitia joto vuguvugu la usajili nchini amsema ataichezea Yanga msimu ujao iwe isiwe.Amewashutumu viongozi wa Simba na kusema wana roho mbaya
''Unajua viongozi wetu wa soka wakati mwingine wanakuwa na roho mbaya ya kutaka kukuzuia usijaribu maisha yako sehemu nyingine'' Alisema Yondani.
Akendelea zaidi ''Najua mashabiki wengine wataniambia mimi ni simba,lakini sitotilia manani jambo hilo zaidi ya kufanya kile kilichonileta hapa kucheza sok''