Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Tusiime sasa ni Tambarare



Hapo ni baada ya kupitishwa kwa greda kusawazisha kifusi kilichokuwa awali hapo njee ya Shule ya Tusiime iliyoko maeneo ya Segerea kuelekea mtaa wa Ugombolwa ambapo kulikuwa kunatuama maji kipindi cha Mvua.

Gari hili lilikutwa likiwa limekwama baada ya kutitia kwenye mchanga nje ya Shule hiyo ya Tusiime hapo ni baada ya greda kusawazisha maeneo hayo yaliyokuwa korofi.

HAPA CHINI NI TASWIRA ZIKIONYESHA HALI ILIVYOKUWA KABLA NA BAADA YA MVUA KWISHA

Kipindi cha mvua hali kuwa kama hivi kutokana na mashimo yaliyokuwa eneo hilo na kuwa kero kwa wapita njia pamoja na wazazi wawaletao watoto wao hapo TUSIIME PRE/PRIMARY AND Secondary School.

Picha hii ikionyesha eneo hilo likijazwa kifusi baada ya majira ya mvua kuisha ili watumiaji yaani wapita njia waweze pita uzuri.




author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top