Loading...
Kina Mama wakijitafutia Riziki
Taswira hiyo ilichukuliwa Jana asubuhi maeneo ya Buguruni Shell Pembezoni mwa Ukuta wa Shule ya Msingi Buguruni wakitafutia riziki kwa kuuza vitafunwa ubuyu na pipi kwa wateja wapitia maeneo hayo. Huku wateja wao wakubwa wakiwa wanafunzi wa shule hiyo kama Taswira inavyoonyesha Mwanafunzi huyo akipita kwa kukagua kipi kinavutia kwake.
Post a Comment
CodeNirvana