Gladness Mallya BAADA
ya hivi karibuni wasanii wa filamu waliokuwa wapenzi, Wastara Juma na
Bond Suleiman kutengana, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na
kumshauri staa huyo kukubaliana na matokeo.
Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’.
Aunty Lulu aliyewahi kuwa mpenzi wa Bond, alimtaka mwenzake
kukubaliana na matokeo kwani huenda muda ndiyo umefika na katika
mapenzi, hilo ni jambo la kawaida.
“Sina
la kuzungumza juu ya Bond maana sihusiani naye, mapenzi yalikuwa zamani
ila kama uchumba umevunjika basi namshauri Wastara akubaliane tu na
matokeo kwani hata mimi muda wangu uliisha, tukaachana naye inawezekana
ni hivyo umekwisha pia,” alisema Aunty Lulu.
SOURCE:GPL
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
UDAKU
on Wednesday, November 11, 2015