Mwanamke anapendeza na kuvutia zaidi anapokuwa na nywele zake za asili wala sio mawigi. Hiyo ni FACT.
Mawigi yanaboa na yanatupunguzia hisia, mfano pale mwanaume
unavyozishika au kujaribu kuzichezea alafu kwa ndani anakutana na mabutu
yaliyotumika kushonea wigi...Inaboa Hasa
Ni kama likofia fulani hivi linalovaliwa au kushonwa kichwani kwa
mwanamke, ambayo pamoja na kwamba KIUHALISIA halimuongezei mwanamke
mvuto (hata kama ni la Laki Moja), linatakiwa libadilishwe kila baada ya
muda fulani.
Wanawake bakini na nywele zenu za asili, zipeni matunzo na usafi wala
hamna haja ya kuhangaika na kubadilisha mawigi maana wanaume {99.99%}
hatuzipendi. Zinaboa hata kuangalia.
Cha kushangaza, utamkuta mwanamke wa kibongo eti naye anahangaika kuweka
liwigi lake vizuri kanakwamba linamzuia kuona vizuri wakati ni FAKE
HAIR na yeye mwenyewe kaliweka hivyo kwa makusudi kuiga Wazungu.
Say NO to Fake Hair.