Baada ya Penzi lake na msanii mwenzake ‘Shilole’ kuvunjika Nuh
Mziwanda ameamua kufuta tattoo ya jina la msanii huyo ambayo alijichora
kwenye mkono wake.
Nuh amesema amefikia uamuzi huo baada ya kuona Shilole anamuongelea vibaya kwa watu ikiwemo kwenye mahojiano yake.
“Angekuwa ni mtu mzuri baada ya kuachana nae tattoo bado ningeiacha kama rafiki yangu na mtu ambaye amenisaidia lakini yeye ananinyea,anajaribu kunididimiza..kwa hiyo tattoo nimefuta kwa sababu yeye si mtu mzuri kwangu”
amefunguka Nuh na kusema kuwa Shilole anasambaza habari mbaya kuhusu yeye kuwa ‘amefulia’ ‘anakula magengeni’ na mambo yanayofanana na hayo
kwa upande mwingine Nuh amethibitisha kuwa yuko kwenye mahusiano lakini hawezi kumweka hadharani mpenzi wake kwa sasa.
Planet Bongo,EARadio