msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz amefunguka na kusema kuwa watu
wengi wamekuwa wakichanganyikiwa na mwonekano wake na kudhani kuwa yeye
ni mtu wa Nigeria.
Ommy amesema imefika wakati hadi videos zake zimekuwa zikichezwa kwenye chati za wa nigeria hususani kupitia
kitu cha televisheni cha Sound city hivyo akijukuta kupata shavu mara mbili yani videos zake kupigwa kwenye
chati za Nigeria na za Afrika mashariki kwa wakati mmoja.
“Tatizo ambalo nakutana nalo mara nyingi huwa naonekana kama ni mnigeria,i don’t why,pengine ni Image yangu..imetokea mpaka kwenye top ten za channel ya nigeria ,Sound city wameniweka kwenye top ten za wasanii wa Nigeria.Sasa hii imetokea nipo kwenye top ten za East Africa na za Naija”
ameelezea Msanii huyo ambaye anaona
jambo hilo ni bahati mbaya na nzuri kwa wakati mmoja..’ndo mashavu yenyewe’.
Source: Clouds fm