Diamond Platinumz “Kwenye Mitaa!!!....Molah nakushkuru kwakuwa naamini
hizi zote ni baraka zako.... ila tu niwakumbushe ndugu zangu kuwa "Kuku hata umlishe nini kamwe hawezi kunyonyesha!"..... NAIROBI get ready for your Platnumz!!! AMERICA | EUROPE see you soon!”