Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati
karibu na Ohio st. Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu
kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo
unasikia kabisa upande wa pili ni sauti ya kasichana mazungumzo yalikua
hivi.
Mzee - What do you mean..I've told you before not to worry it is
within my capability usichukue gari ya chini, chagua landcruiser au
yoyote ya juu.
Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............
Mzee. - Ok no problem, njoo sasa hivi uchukue cheque kwa ajili ya
kuwalipa NSSF niliongea na mkurugenzi wake akanipromse a nice location
for your appartment.
Anyway we njoo ukifika go to reception I have already reserve a place,
just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja.
Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea.
Kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee this dudes knows how to care jamani......
Vijana Siku hizi Hawajui Kuhonga zaidi ya Kuchafuana tu hata hela ya kununua sababu ni kujisafishia hupati