

Picha 1.Wauaji wakiserebuka baada ya kipenga cha mwisho kupulizwa kushoto ni muaji wa goli la pili Asamoah Gyan na mfungaji wa goli la kwanza Kevin-Prince Boateng.Picha 2. Gyan na mwenzake wakiendeleza libeneke la kufurahia ushindi wao dhidi ya Marekani ushindi mtamu sana.
Picha 3.Jamaa akiwa tayari kwa ajili ya kuishangilia Black Stars fullly shangwe.