Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Vodacom Miss Exellence OUT 2010 Mmeremeto

Mshindi wa Shindano la Vodacom Miss Exellence Open University 2010 Christin Justin (kati) akiwa amejawa na furaha pamoja na washindi wengine.Kushoto kwake ni Jaquiline Mwombeki alieshika nafasi ya tatu na kulia kwake ni Mshindi wa Pili Glory Mushi.
Shindano hilo lilifanyika katika Makao makuu ya muda Kinondoni pembeni mwa viwanja vya Biafra.Mmeremeto huo ulisindikizwa na burudani murua kutoka kwa wazee wa pamba au wazee wa ngwasuma nawazungumzia FM ACADEMIA.

Taswira kwa hisani kubwa ya michuzi.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top