Loading...
Vuvuzela kuendela Kupulizwa 'Sauz'
Pamoja na kuwa mwenyeji wa kwanza kutolewa katika raundi ya kwanza mashabiki wa Bafana Bafana kuendeleza kupuliza Vuvuzela katika mashindano hayo ya kombe la Dunia wakiwa kama wenyeji.Mashabiki hao kwao ni faraja kubwa kwani mashindano haya yatasaidia sana kuinua kiwango cha Soka katika nchi yao ya Afrika ya Kusini.Pia kiwango walichoonyesha Bafana katika mechi yao ya mwisho dhidi ya Ufaransa ya ushindi wa 2-1 katika ardhi ya nchi yao unawapa imani kubwa kuwa katika mashindano yajayo ya kombe la Dunia mwaka 2014 nchini Brazil kuwa timu yao ya Bafana itaweza kufuzu katika mashindano hayo.
Image credit to:bbcnews.
1 maoni:
Mzee tuna kazi! ila la muhimu kuendelea kupambana for the future!! Tanzania lini?? Vuvuzela sijui!!!!!! nimerudi kwa blog na nafikiri spid 160!
Reply