Pamoja na kuwa na mchezaji wa 'ziada' vuvuzela jana Sauz walionekana kana kwamba wamekuja kukamilisha ratiba hatukuona yale makeke yao ya mechi ya ufunguzi na Mexico kiasi kwamba wakakubali kipigo cha 3-0 toka kwa Uruguay.Tuzidi kuziombea timu zetu za Afrika japo ziweze kufika mbali zaidi katika mashindano haya ya Kombe la Dunia.
Taswira kwa hisani ya :http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/world_cup_2010/