Kikosi cha Biafra kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mpambano wao na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Kikosi makini cha Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kikiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya mpambano wao na Biafra katika mechi ya kukata na shoka.
Mpambano huu ulifanyika katika viwanja vya Biafra na kuisha suluhu bin suluhu.
Picha kwa hisani ya DOS-Open University of Tanzania.