Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Chereko kabla ya Mpambano


Raha ya pambano hilo ilinogeshwa na ngoma mbalimbali zilizokuwa zikipigwa na wanazi wa Simba ambao tayari walisha ukwaa Ubingwa hivyo walikuja na shangwe za kila aina huku watani zao Yanga wakiingia kwa unyonge kwani tayari walishavuliwa Ubingwa huo.

Ngoma iliponoga mdau huyu aliamua kushoo love kwa taswira nasi kamera yetu ilikuwa ikifuatilia ngoma hiyo ikamnasa hapo wakijiandaa kuingia Uwanja wa Taifa hapo jana.

Mauno hayo yalikuwa si ya kawaida watu walijiachia kama kawaida kama uonavyo mashabiki wakichaeza ngoma kwa raha zao hapo ni kabla ya kuingia ndani ya Uwanja wa Taifa. shamrashamra kama hizo zilikuwa kwa wingi kutoka kwa mashabiki wa Simba huku upande wa Yanga hali ikiwa kimya kuliko kawaida.

Mdau akiingia ndani ya uwanja wa Taifa kwenda kuangalia mtanange wa watani wa jadi SIMBA NA YANGA....
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top