Loading...
Daladala zetu na ujazaji huu wa Abiria.
Huu ndio mtindo uliokithidhiri kwa daldal nyiingi kujaza watu kupitisa kiasi hata kuwalazimu wengine kuning'inia kama taswira inavyoonyesha hapo.Ni maeneo ya Tabata Segerea ambapo nyakati za asubuhi hali ya usafiri huwa tete kiasi ambapo wakati mwingine bila kuwa na ubavu kidogo basi waaweza poteza saa nzima kituoni ukisubiria usafiri.
Hapo nyomi pia kama kawaida hilo ni Tabata Segerea -Ubungo kila mmoja ana haraka hivyo kulazimu kubana ndani ya gari hadi nje pia .
Ni kama jambo la kawaida kwao wanasema 'inayojaa ni ndoo ya maji' daladala huwa haijai kama uonavyo kwa mbali hiyo ni Tabata Segerea-Mnazi Mmoja hapo.
Post a Comment
CodeNirvana