Leo tukiwa ndani ya daladala tulijaribu kumchunguza dereva wetu anaetuendesha ni maridadi kwa usukani atuendesha dereva sie siku zote ni vazi hilo walivaalo madeva hao ambao wengi wao wanalidharau vazi hilo.Kamera yetu ikamnasa huyu japo alivaa vizuri tu vazi lake TATIZO kubwa vazi hilo ni chafu ukilichunguza uzuri lina madoa linaonekana hata ofuaji wake ni wa mashaka au lapendeza kwa upya wake tu kwa sasa.
Taswira hizi zikionyesha suka huyo akiwajibika vizuri ndani ya chombo chake mahiri kabisa na utapenda kazi yake ila vazi ndilo lililomtia doa.Huyu ni dereva wa daladala lifanyalo safari zake kati ya Kariakoo na MwengeWengine huegesha tu mavazi hayo ili mradi wanaoshughulikia usalama Barabarani wajue kavaa ''unifomu'' kumbe kaegeshea tu kwa juu.
Tutazidi waletea vimbwanga vya makondakta na madereva kila tuvipatavyo hapa Kijiweni
Loading...
Post a Comment
CodeNirvana