Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara wa C.U.F asemavyo kwenye ukurasa wake wa Facebook akimpongeza Mh.Mnyika

Naibu Katibu Mkuu Tanzania BarA-CUF
Hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook..
Hongera mnyika, hongera wana ubungo, muhimu Sasa Ni kusimamia na kutekeleza mambo muhimu ambayo wananchi wanayatarajia. Nilichokipenda baada ya hukumu hiyo Ni kuwa Sasa haturudi kwenye chaguzi ndogo ambazo mie naziona Ni ufujaji mkubwa wa mabilioni ya fedha kwa mashindano huku wananchi wakiwa hawana madawa wala maji safi wala ajira huku wengi wakishinda njaa. Bado tuna kazi kubwa ya kubadilisha mfumo huu ghali wa demokrasia ndani ya nchi. Nadhani hawa ng'umbi aachane na kesi hii, ashughulikie masuala ya familia na chama chake ambavyo vinamhitaji mno kuliko wana ubungo.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top